Mwongozo wa uongozi unaojali usawa, utu, na haki za binadamu badala ya unyonyaji.
Rasilimali mama inayopaswa kutumiwa kwa manufaa ya wote na si kugeuzwa bidhaa ya wachache. Kauli ya Baba wa Taifa J. K. Nyerere juu ya maendeleo
Mwalimu alifananisha uhusiano wa Uhuru na Maendeleo sawa na ule wa . Alisema kuwa bila kuku huwezi kupata mayai, na bila mayai kuku watakwisha; vivyo hivyo, bila uhuru hupati maendeleo, na bila maendeleo utapoteza uhuru wako. TOP 25 QUOTES BY JULIUS NYERERE Mwongozo wa uongozi unaojali usawa, utu, na haki